Loading...
title : Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara.
link : Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara.
Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara.
Kuelekea mchezo kati ya Ndanda FC ya Mkoani Mtwara na Yanga Sc ya Jijini Dar es Salaam tayari wafanyabiashara wa Kuuza Jezi wameanza Kutundika Bidhaa hizo Huku Jezi ya Ibrahim Ajibu na Papikabamba Shishimbi Zikiongoza kwa Kuuzwa.
Jezi hizo ambazo zimesambazwa Pembeni ya Uwanja wa Umoja Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara,ambapo hata Hivyo ni Jezi za Simba FC na Yanga FC ndio Zinaonekana Kuuzwa Zaidi Huku Jezi za Ndanda SC Zikikosekana.
Mmoja wa Wafanyabiashara Saleh Hassan anasema Jezi zinazouzika ni wa Simba SC lkn kwa Timu ya Yanga SC wateja Waliowengi wamekuwa wakiulizia Jezi ya Ajibu pamoja na Shishimbi ambazo ndio zinaonek
Kwa Muonekana Hakuna Jezi ya Timu wenyeji Ndanda FC inayouzwa zaidi ya Jezi za Yanga SC na Simba SC.Mchezo wa Ndanda FC ya Mkoani Mtwara dhidi ya Simba SC unatarajia kufanyika Jtano ya Wiki hii.
Hivyo makala Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara.
yaani makala yote Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/jezi-za-ajib-na-shishimbi-zauzika-mtwara.html
0 Response to "Jezi za Ajib na Shishimbi Zauzika-Mtwara."
Post a Comment