Loading...

KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

Loading...
KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR
link : KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

soma pia


KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

Dar es Salaam
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndugu Daniel Zenda akikabidhi  kadi 1500 za wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Katibu wa Hamasa Seneti ya mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Juakali Kuwanya katika hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya UVCCM, Upanga  jijini Dar es Salaam.

Zenda amesema, kadi hizo amezikabidhi ili zigawiwe kwa wananchama wapya ambao wamekuwa wakijiunga kwa wingi katika Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake, kutokana na mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono CCM kutokana na kuvutiwa na Utendaji kazi  wa Rais John Magufuli na Serikali yake ya awamu ya tano

Imetolewa na 
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.


Hivyo makala KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

yaani makala yote KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/kaimu-katibu-wa-idara-ya-vyuo-na-vyuo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR"

Post a Comment

Loading...