Loading...

Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan

Loading...
Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan
link : Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan

soma pia


Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Aga Khan, Bw. Amin Kurji alipomtembelea katika Ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2018.
Mazungumzo kati ya Prof. Mkenda na Bw. Kurji yalijikita katika kujadili masuala ya ushirikiano na shughuli za maendeleo ambazo zimekuwa zikifanywa na Shirika la Aga Khan nchini katika kuhudumia wananchi hususan katika sekta ya Afya na Elimu. 
Mazungumzo yakiendelea, kulia ni wajumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.


Hivyo makala Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan

yaani makala yote Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/katibu-mkuu-mambo-ya-nje-akutana-na_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Mwakilishi wa Aga Khan"

Post a Comment

Loading...