Loading...

MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI

Loading...
MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI
link : MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI

soma pia


MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI

Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mhe. Angelina Mabula ameshangazwa na uwepo wa majalada ya ardhi katika halmashauri za Butiama na Musoma ambayo wamiliki wake hawafahamiki na majalada hayo kujulikana kama ‘’ndugu mhusika’’.

Akiwa katika ziara yake ya siku tatu ya kushughulikia migogoro ya ardhi pamoja na kukagua mfumo wa ulipaji kodi ya ardhi mkoani Mara mhe. Mabula alisema majalada hayo yamekuwa na matatizo ya viwango vya kulipa kodi kwa kuwa yanaonekana kuwa deni huku mmiliki akitaka kumilikishwa upya kwa gharama ndogo.

Kufuatia mkanganyiko huo, naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi aliyakabidhi majalada yenye utata kwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kwa uchunguzi zaidi ili kubaini kama suala hilo limefanyika kimakosa ama ni kwa makusudi.‘’Mtu anamilikishwa leo kwa pesa ndogo sana halafu za huko nyuma zinapotea hapa kuna mchezo unafanyika kupunguza mapato ya serikali’’ alisema Mabula.
Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Angelina mabula akizungumza na watumishi wa halmashauri za Mji na Wilaya ya musoma mkoa wa Mara.
Baadhi ya watumishi wa kanda wa Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi wakimsikiliza Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Angelina mabula wakati wa ziara yake mkoani Mara.
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dk. Vicent Anney Naano akizungumza wakati wa ziara ya naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mkoani mara.



Hivyo makala MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI

yaani makala yote MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mabula-ashangazwa-utata-katika-umiliki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MABULA ASHANGAZWA UTATA KATIKA UMILIKI WA HATI ZA ARDHI"

Post a Comment

Loading...