Loading...
title : MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR
link : MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR
MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR
Afisa Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika kutoka Manispaa ya Kinondoni,Saleh Hijja Mohamed (aliyesimama) akizungumza kabla ya kumalizika kwa semina ya siku tatu ya mafunzo ya uongozi kwa walimu wa shule za msingi na sekondari wa Jiji la Dar es Salaam leo. Semina hiyo imefanyika katika Kituo cha Walimu cha Mzimuni kilichopo Magomeni Mapipa. Kulia wanaoshuhudia ni Afisa Mkuu wa Miradi wa Shirika lisilo la Kiserikali la British Council,Atiya Sumar na Meneja Miradi wa Shirika hilo,Ephraim Kapungu. Picha na Elisa Shunda
Afisa Mkuu wa Miradi wa Shirika lisilo la Kiserikali la British Council, Atiya Sumar akizungumza katika ufungaji wa semina hiyo.
Meneja Miradi wa Shirika Lisilo la Kiserikali la British Council, Ephraim Kapungu (katikati) akielezea utendaji kazi wa shirika hilo katika uwezeshaji wa masuala mbalimbali yahusuyo elimu jinsi shirika hilo linavyofanya kazi zake kwa kushirikiana na serikali kupitia wizara ya elimu.
Mmoja kati ya wakufunzi wa semina hiyo Ndg.Edwin Shunda akiwa katika majukumu yake ya ufundishaji na uwezeshaji wa uongozi kwa walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari wa Jiji la Dar es Salaam.
Mgeni rasmi, Afisa Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika kutoka Manispaa ya Kinondoni,Saleh Hijja Mohamed (katikati) akiwa na viongozi wa shirika la British pamoja na walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa semina ya siku tatu ya mafunzo ya uongozi kwa walimu hao wa Jiji la Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR
yaani makala yote MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mafunzo-ya-uongozi-kwa-walimu-wa-shule.html
0 Response to "MAFUNZO YA UONGOZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI YAFANYIKA JIJINI DAR"
Post a Comment