Loading...

MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA

Loading...
MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA
link : MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA

soma pia


MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji,Aisack Kamwelwe ameiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) kuukagua mradi wa maji wa Buchosa uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza kwani anazotaarifa kuna vifaa vimenunuliwa havina ubora kabisa.

Maagizo hayo aliyatoa jana Mjini hapa wakati akizindua ripoti na utendaji wa Mamlaka za Maji za Miji na Mikoa na miradi ya kitaifa.


Uzinduzi huo uliandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo Mamlaka ya Maji ya Moshi ilichaguliwa kuwa ya kwanza kwa utoaji bora wa huduma za maji. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe (kulia) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa Mamlaka inayotoa huduma bora za Maji Tanzania, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) ,Prof. Faustine Bee. Kushoto ni Mkurugenzi Mkurugenzi Mkuu wa MUWSA, Joyce Msiru. Makabidhiano hayo yalifanyika mjini Dodoma juzi.



Hivyo makala MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA

yaani makala yote MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/muwsa-mabingwa-utoaji-huduma-bora-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MUWSA MABINGWA UTOAJI HUDUMA BORA ZA MAJI TANZANIA"

Post a Comment

Loading...