Loading...

Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu.

Loading...
Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu.
link : Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu.

soma pia


Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu.


Wanahabari Hellena Mwango, Careen , Kulwa Mwaibale na mke wa Patrick Mwillongo wakiwa wamekaa nje ya jengo la Hospitali ya Mkoa Temeke wakitafakari namna ya kumsaidia Mwillongo walipofika  kumjulia hali leo hii asubuhi.

Na Mwandishi Wetu

Ndugu wanahabari mwenzetu Patrick Mwillongo yupo hoi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke ambako amelazwa kwa matibabu.

Mwillongo anasumbuliwa na ugonjwa wa kujaa maji kwenye mapafu ambao umesababisha hashindwe kujimudu kufanya jambo lolote.

Kwa umoja wetu na tabia tuliojijengea kama wanahabari tujitokeze kumsaidia mwenzetu ambaye anapita katika kipindi kigumu.

Mwillongo ni Mwandishi wa Habari wa kujitegemea
 na anafanya shughuli zake wilayani Bagamoyo mkoani Pwani na awali alikuwa akiandikia magazeti mbalimbali likiwemo Jambo Leo na yale yanayomilikiwa na Kampuni ya New Habari.

Kwa atakayegusa kumsaidia anaweza kutoa mchango wake kupitia namba MPESA-0754362990, Tigo Pesa ni 0712727062.


Hivyo makala Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu.

yaani makala yote Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mwanahabari-patrick-mwillongo-anahitaji_6.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mwanahabari Patrick Mwillongo Anahitaji Msaada wa Matibabu."

Post a Comment

Loading...