Loading...

MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI.

Loading...
MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI.
link : MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI.

soma pia


MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI.

JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Hadija Msangi (30 ) mkazi wa Mwanzini  kwa tuhuma za kumchinja mtoto wake  mwenye umri wa miezi tisa na kitu chenye ncha kali shingoni hadi kufa .

Mtoto aliyeuawa ametambulika kwa jina la Hashim Msuya na kwamba mtuhumiwa baada ya kufanya unyama huo aliuweka mwili wa mtoto huyo kwenye mfuko wa Safleti na kuuhifadhi kwenye uvungu wa kitanda chake.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issah amethibitisha kutokea kwa tukio hilo mnamo Februari 26 mwaka huu majia ya saa 10:00 katika kata ya Msangeni wilaya ya Mwanga na kwamba tayari uchunguzi wa kidaktari umefanyika.

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Media Group -Kilimanjaro.


Hivyo makala MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI.

yaani makala yote MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/mwanga-amchinja-mwanaye-shingo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANGA: AMCHINJA MWANAYE SHINGO NA KUFICHA MWILI UVUNGUNI."

Post a Comment

Loading...