Loading...

Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC

Loading...
Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC
link : Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC

soma pia


Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC

 Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Prof. Elisante Ole Gabriel, (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria kwenye Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara kwenye Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. 
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Prof. Elisante Ole Gabriel, (kulia) akiagana na Makamu wa Rais wa Uganda, Mhe. Edward Sekandi (kushoto) kwenye Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara kwenye Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Mhe. Sekandi ndiye alikuwa Mgeni Rasmi na ndiye aliyefungua Mkutano huo unaofanyika kwenye Hoteli ya Munyonyo, Nchini Uganda kuanzia tarehe 28 Februari hadi 01 Machi, 2018.


Hivyo makala Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC

yaani makala yote Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/prof-elisante-ahudhuria-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Prof. Elisante Ahudhuria Mkutano wa kuboresha mazingira ya Biashara EAC"

Post a Comment

Loading...