Loading...
title : RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI
link : RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI
RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI

Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais;na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale.
Aidha, amewateua Naibu Mawaziri wapya wawili na kumbadilisha Wizara Naibu Waziri mmoja. Kufuatia mabadiliko hayo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi sasa itakuwa na Wizara 14 zenye Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:
1. OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI
i. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi- Mheshimiwa Issa Haji Ussi Gavu
2. OFISI YA RAIS, KATIBA SHERIA, UTUMISHI WA UMMA NAUTAWALA BORA
i. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman
ii. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora – Mheshimiwa Khamis Juma Mwalim
3. OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ
i. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ – Mheshimiwa Haji Omar Kheri
ii. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ – Mheshimiwa Shamata Shaame Khamis
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI
yaani makala yote RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-dkt-shein-afanya-mabadiliko-madogo.html
0 Response to "RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI"
Post a Comment