Loading...
title : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
link : RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of
Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya nae mazungumzo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of
Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya nae mazungumzo
Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni mtoto wa Profesa Mahalu
ambaye ni Mwanasheria wa Kujitegemea Jaji Costa Mahalu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mtoto wa Profesa Mahalu ambaye ni Mwanasheria wa Kujitegemea
Jaji Costa Mahalu mara baada ya kumaliza mazungumzo na Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-magufuli-akutana-na-kufanya_19.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM."
Post a Comment