Loading...
title : Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo.
link : Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu pajini,wakati wa ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam baada ya kujiunga na waumini wengine katika ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo
Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam baada ya kujiunga na waumini wengine katika ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na waumini wenzao baada ya ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam na Padri Venance Tegete baada ya kujiunga baada ya ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018.
Picha na Ikulu.
Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo.
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/rais-wa-jamuhuri-wa-muungano-wa.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli Ahudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu Kanisa la St.Joseph Jijini Dar es Salaam leo."
Post a Comment