Loading...

Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48

Loading...
Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48
link : Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48

soma pia


Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48



Chama Tawala Nchini Afrika Kusini (ANC) kimempa masaa 48 rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kujiuzulu katika nafasi yake ya urais.

Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, vimesema kuwa hatua hiyo imefikiwa mara baada ya kuwepo kwa mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala nchini humo ANC.

ANC kilifanya mazungumzo ya kina na baadaye kutuma ujumbe wa watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba achague moja ajiuzulu mwenyewe au chama kimng’oe madarakani.

Aidha, Chama hicho kimeona kuwa njia hiyo ni rahisi zaidi kumng’oa rais Zuma madarakani badala ya kusubiri utaratibu wa bunge ambao ungeweza kuwa mrefu na wenye madhara zaidi kwa chama cha ANC.

Hata hivyo, Kiongozi mpya wa ANC, Cyril Ramaphosa ndiye anayeongoza shinikizo la kumuondoa Zuma katika nafasi yake hiyo ya Urais, huku akiahidi kupambana na rushwa iliyokithiri na kukijenga upya chama hicho, wakati nchi hiyo ikielekea katika uchaguzi mwakani.


Hivyo makala Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48

yaani makala yote Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/ramaphosa-aongoza-jahazi-kumungoa-zuma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung'oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48"

Post a Comment

Loading...