Loading...

Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)

Loading...
Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)
link : Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)

soma pia


Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)

Jumapili tarehe 4/2/2018
- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street, Dar es salaam. 
-Saa 11:00 Jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha)
******************************
Jumatatu tarehe 5/2/2018
- Saa 1:00 Asubuhi mpaka saa 2:00 asubuhi waombolezaji kuwasili nyumbani Kwa ajili ya kuanza taratibu za mazishi.
- Saa 2:00 Asubuhi mpaka saa 3:30 asubuhi Kupata kifungua kinywa/Chai Kwa waombolezaji wote
- Saa  4:00  Asubuhi mpaka saa 5:00 misa nyumbani Kwa marehemu
- Saa 6:00 Mchana mwili kuwasili Karimjee hall kwa shughuli ya kuagwa
- Saa 6:00 Mchana  9:00 Alasiri kuaga mwili wa marehemu
- Saa 9:00 Alasiri mpaka 9:30 Alasiri msafara wa kuelekea makaburini Kinondoni
- Saa 9:30  Alasiri mpaka 11:30 Jioni maziko
- Saa 11:30 Jioni 12:30 Jioni kuelekea nyumbani kwa marehemu kwa chakula cha jioni kwa waombolezaji wote
1:30 mpaka  2:45  Usiku chakula cha usiku waombolezaji wote
3:00 Usiku-Hitimisho la shughuli ya Mzee wetu kwa waombolezaji wote.

Tunawashukuru sana waombolezaji wote kwa ushiriki wenu wa Hali na mali katika wakati huu mgumu. Mungu awazidishie.
Bwana ametoa, na bwana ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe - AMINA

Imetolewa na:
Omary A. Kimbau
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi


Hivyo makala Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)

yaani makala yote Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/ratiba-rasmi-ya-mazishi-ya-mzee.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ratiba rasmi ya mazishi ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (Baba Kinje)"

Post a Comment

Loading...