Loading...
title : SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA
link : SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA
SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
RADIO Uhuru imeandaa show MIC TATA itakayowashirikisha wasanii mbalimbali nchini itakayofanyika Februari 24 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Michuzi Blog, Afisa Uhusiano , Sheila Simba amesema kuwa show siyo ya kukosa kutokana na wasanii walivyojipanga katika kukutanisha wasanii mbalimbali .
Sheila amesema kuwa radio uhuru kufanya show hiyo ni mwendelezo wa show zingine ikiwa ni kukutanisha wasanii mbalimbali kutoa burdani kwa mashabiki wao.Wasanii watakaotumbiza katika Mic Tata ni Joe Makini , Inspekta Haruni , Manifongo , Dulla Makabila na Amigo wa Tarabu huku kiingilio ikiwa ni sh. 5000
Hivyo makala SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA
yaani makala yote SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/show-ya-mic-tata-kutikisa-ukumbi-wa-dar.html
0 Response to "SHOW YA MIC TATA KUTIKISA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA"
Post a Comment