Loading...
title : SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
link : SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akimkabidhi kadi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa aliyekuwa Katibu wa Chama cha Wananchi (CUF) Kata ya Mwalusembe, Abass Mjavile.
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akikabidhi bati 80 na mifuko 60 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa ofisi mbambali za chama cha mapinduzi kata ya Mwarusembe zenye thamani y ash.milioni mbili.
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Mwarusembe ambapo wanachama wapya sita walijiunga na chama hicho kutoka Chama cha Wananchi (CUF).
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akiwakabidhi pikipiki kwa viongozi wa chama hicho kata ya Mwalusembe yenye thamani ya zaidi ya milioni mbili
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Mwarusembe wakisikiliza Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
Hivyo makala SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI
yaani makala yote SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/sita-wajiunga-na-chama-cha-mapinduzi.html
0 Response to "SITA WAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI"
Post a Comment