Loading...

Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi

Loading...
Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi
link : Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi

soma pia


Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akiwasalimia wakazi wa Mji wa Pongwe mara baada ya kuwasilia na timu ya Coastal Union ikitokea mkoani Morogoro ambapo iliweza kupanda daraja baada ya kuifunga Mawenzi ya Morogoro mabao 2-0 kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella kulia akizungumza wakati alipoipokea timu ya Coastal Union mara baada ya kupanda daraja kucheza Ligi kuu msimu ujao mapokezi hayo yalifanyika kwenye eneo la Pongwe Jijini Tanga kushoto ni
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akizungumza katika mapokezi hayo

 Wapenzi wa soka mkoani Tanga pamoja na wananchi wakiwa wamezingira barabara ya Tanga kwenye mikoani eneo la Pongwe wakiilaki timu ya Coastal Union leo




 Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akizungumza katika mapokezi hayo akizungumza katikani ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella
 Mwenyekiti wa timu ya Coastal Union,Steven Mguto katikati akimsikiliza kwa umakini Mwenyekiti wa kamati ya usaji wa klabu hiyo Ahmed Aurora kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoani Tanga(TRFA) Saidi Soud
Mfungaji wa moja ya mabao yaliyoipandisha timu ya Coastal Union Athumani Iddi Chuji akizungumza kwenye mapokezi hayo leo.
 (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)


Hivyo makala Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi

yaani makala yote Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/timu-ya-coastal-union-ya-tanga-yapokewa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu ya Coastal Union ya Tanga Yapokewa Kishujaa Tanga Waziri Ummy, RC Shigella Waongoza Mapokezi"

Post a Comment

Loading...