Loading...
title : ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA
link : ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA
ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amefanya ziara katika vijiji vya Kise, Kibululu na Kiparang'anda (B) Kata ya Kiparang'nda ili kujua changamoto mbalimbali zinazo wakabili wananchi na kuweza kuzishughulikia kupitia Halmashauri pamoja Ofisi yake.
Akizungumza na wananchi wa Vijiji hivyo amesema wakati wa sasa ni kufanya wa maendeleo ya kweli bila kuangalia itikadi za vyama.
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kise Kata ya Kiparang'nda kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili wananchi hao.
Mkazi wa Mkuranga, Selemani Mpambika akiuliza swali kwa kwa Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, ambae ni mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega wakati wa mkutano huo.
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa jimbo la Mkuranga,, Abdallah Ulega (alieshika kikombe cha kahawa) akiwa sambamba na Wazee wa Mkuranga kwenye kijiwe cha kahawa akipata kikombe cha kahawa pamoja ambapo pia walibadilishana mawazo juu ya maendeleo ya wilaya yao.Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.
Hivyo makala ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA
yaani makala yote ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/ulega-azidi-kutatua-changamoto-za.html
0 Response to "ULEGA AZIDI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA MKURANGA"
Post a Comment