Loading...

Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha

Loading...
Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha
link : Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha

soma pia


Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha



Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na viongozi wa TANAPA alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Ausha jana na kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi hususan maeneo yenye migogoro kwa lengo la kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua mazingira ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha alipotembelea hifadhi hiyo jana kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi hususan maeneo yenye migogoro kwa lengo la kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu. Katikati ni Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA, Martin Loibooki na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi hiyo, Steria Ndaga (kulia).




Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiangalia moja ya eneo lenye mgogoro ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha alipotembelea hifadhi hiyo jana na kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi hususan maeneo yenye migogoro kwa ajili ya kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu. Katikati ni Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA, Martin Loibooki na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi hiyo, Steria Ndaga (kulia).




Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA, Martin Loibooki alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha jana na kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi hususan maeneo yenye migogoro kwa ajili ya kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu. Kulia ni Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi hiyo, Steria Ndaga.

Picha ya pamoja Waziri Kigwangalla na baadhi ya viongozi na wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa TANAPA.

Waziri wa Malisili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhifadhi wa TANAPA, Martin Loibooki kuhusu Kreta ya Hifadhi ya Ziwa Manyara muda mfupi kabla ya kuhitimisha ziara yake katika hifadhi hiyo jana jioni. (Picha na Hamza Temba-WMU)


Hivyo makala Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha

yaani makala yote Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/utalii-waziri-dk-kigwangalla-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Utalii : Waziri, Dk. Kigwangalla Atembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha"

Post a Comment

Loading...