Loading...

VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA

Loading...
VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA
link : VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA

soma pia


VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA

Chama Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kinazipongeza timu za JKT Tanzania, KMC na African Lyon  kwa kufanikiwa kuwa miongoni mwa timu sita zilizopanda ligi kuu daraja (VODACOM Premier League) kwa msimu wa 2018/19.
 
DRFA inaamini mafanikio waliyopata timu za JKT, KMC na African Lyon yametokana na uongozi bora pamoja na mipango mizuri waliyojiwekea katika vilabu vyao. Kwahakika wameutendea HAKI Mkoa wa Dar es Salaam.
  
Chama Cha Mpira wa Miguu mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kinawahakikishia vilabu hivyo vilivyopanda na vilabu vingine vilivyopo katika ligi kuu (VODACOM Premier League) kuwa DRFA itaendeleza ushirikiano uliopo na uongozi wake pamoja na kamati nzima ya utendaji ya vilabu hivyo katika masuala mbalimbali ya kuendeleza soka la Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
 
Kwa niaba ya kamati ya utendaji ya DRFA na familia ya mpira wa Miguu katika mkoa wa Dar es Salaam tunawapa pongezi za dhati kwa mafanikio hayo mliyoyapata na kuomba kuitumia nafasi hiyo kuweza kujipanga na kuwa na maandalizi mazuri kwa ajili ya kufanya vizuri zaidi katika ligi kuu (VODACOM Premier League) msimu wa 2018/19 na inayofuata.
 
Mbali na pongezi hizo kwa vilabu vya Dar es Salaam vilivyopanda ligi kuu (VODACOM Premier League), DRFA pia imeipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Rais Walace Karia pamoja na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa usimamizi mzuri wa Ligi ya daraja la kwanza (FDL) msimu wa 2017/18 iliyomalizika jana bila ya viashiria vyovyote vya upangaji wa matokeo.

Almasi J. Kasongo,
Mwenyekiti
Chama Cha Mpira wa Miguu Mkoa Wa Dar es Salaam (DRFA)


Hivyo makala VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA

yaani makala yote VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/vilabu-vitatu-vya-michezo-vyapongezwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VILABU VITATU VYA MICHEZO VYAPONGEZWA KWA KUPANDA DARAJA"

Post a Comment

Loading...