Loading...

wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara

Loading...
wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara
link : wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara

soma pia


wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara

1
 Meneja Usimamizi wa Mabenki (BOT), Eliamringi Mandari akiwasilisha mada ya Usimamizi wa shughuli za Mabenki na Taasisi za Fedha katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali inayofanyika kwenye ukumbi wa (BoT) mkoani Mtwara, ambapo wanahabari wamepata ufafanuzi mbalimbali katika masuala ya ya shughuli zinazofanywa na mabenki katika biashara ya kifedha nchini Tanzania kwa kufuata sheria kanuni na taratibu zinazosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
4
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mada katika semina hiyo inayoendelea kwa siku ya pili leo mjini Mtwara.
7
 Mkurugenzi Tafiti za Uchumi (BoT),Jonson Myella akichangia mada kuhusu Mabadiliko ya Mfumo mpya wa Kuandaa sera ya Fedha, Mapitio ya Maendeleo ya Uchumi nchini, Kikanda na Kimataifa Duniani iliyotolewa katika semina hiyo.
9
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa.
11
Jonson Myella Mkurugenzi Tafiti za Uchumi (BOT), Bi. Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BoT) na Eliamringi Mandari Meneja Usimamizi wa Mabenki (BoT) wakifuatilia mambo mbalimbali wakati wa semina hiyo. 



Hivyo makala wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara

yaani makala yote wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wanahabari-wapewa-somo-usimamizi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "wanahabari wapewa somo USIMAMIZI WA MABENKI NA TAASISI ZA FEDHA mkoani Mtwara"

Post a Comment

Loading...