Loading...

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU

Loading...
WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU
link : WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU

soma pia


WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Februari 2018.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama akimueleza Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su jinsi ofisi yake inavyoratibu masuala ya kazi na ajira. Katikati ni katibu wa Balozi Jang Myong Su.
Balozi wa Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini Kim Yong Su akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mh. Jenista Mhagama baada ya mazungumzo yaliyofanyika tarehe 12 Februari 2018, jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU

yaani makala yote WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/waziri-jenista-mhagama-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI JENISTA MHAGAMA AKUTANA NA BALOZI WA KOREA KASKAZINI KIM YONG SU"

Post a Comment

Loading...