Loading...
title : WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI
link : WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI
WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakata utepe wakati alipoweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mbarika – Misasi katika kijiji cha Manawa wilayani Misungwi, Februari 19, 2018. Wapili kulia ni mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mbarika- Misasi katika kijiji cha Manawa wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kiwanga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madarasa yanayojengwa kwa nguvu za wananchi katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi Februari 19, 2018. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga na watatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya Misungwi, Juma Sweda.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubi mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi, Februari 19, 2018.
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Misungwi wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyamayinza, Februari 19, 2018.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadahara kijijini hapo, Februari 19, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba lenye ukubwa w hekari 6 la Bw. Muhoja Ngole (kulia kwa Waziri Mkuu) katika kijiji cha Mondo wilayani Misungwi, Februari 19, 2018.
Hivyo makala WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI
yaani makala yote WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-ahitimisha-ziara-wilayani.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA WILAYANI MISUNGWI"
Post a Comment