Loading...
title : WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA
link : WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA
WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilomita tatu iliyojengwa kwa fedha za halmashauri leo Februari 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara yenye urefu wa kilomita tatu iliyojengwa kwa fedha za halmashauri leo Februari 28, 2018.

Wananchi wa Wilaya ya Tandahimba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao mara baada ya kuweka jiwe la msingi la barabara ya Tandahimba mjini, Mkoani Mtwara yenye urefu wa kilomita tatu iliyojengwa kwa fedha za halmashauri leo Februari 28, 2018.
Hivyo makala WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA
yaani makala yote WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-azindua-wa-barabara.html
0 Response to "WAZIRI MKUU AZINDUA WA BARABARA TANDAHIMBA"
Post a Comment