Loading...

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania

Loading...
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania
link : Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania

soma pia


Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akiwa katika picha na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kushoto) baada ya kumpokea katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa ziara ya mafunzo hapa nchini. Katika ziara hiyo Mhe. Moramotse kaambatana na Katibu Mkuu wake, Mathabathe Hlalele.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akibadilishana kadi ya mawasiliano na baadhi ya maofisa waandamizi kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Lesotho baada ya kuwapokea katika Uwanja wa Ndege wa JNIA kwa ziara ya mafunzo nchini.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Eng. Joseph Nyamhanga (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (kushoto) katika Uwanja wa Ndege wa JNIA mara baada ya kuwasili kwa ziara ya mafunzo hapa nchini


Hivyo makala Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania

yaani makala yote Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/wizara-ya-ujenzi-na-uchukuzi-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Nchini Lesotho Yaja Kujifunza Tanzania"

Post a Comment

Loading...