Loading...
title : YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU.
link : YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU.
YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU.
Klabu ya Yanga imechomoza na ushindi wa mabao 4 – 0 dhidi ya timu ya Njombe Mji mchezo uliyopigwa uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.Mabao ya Yanga SC yakifungwa na mchezaji Obrey Chirwa matatu na Juma Mahadhi huku mabingwa hao watetezi wakisogea hadi nafasi ya pili baada ya kutimiza pointi 34 nyuma ya Simba SC wenye 38 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara.
Hivyo makala YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU.
yaani makala yote YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/yanga-yajipigia-njombe-mji-4-omashabiki.html
0 Response to "YANGA YAJIPIGIA NJOMBE MJI 4-O,MASHABIKI SIMBA ROHO JUU."
Post a Comment