Loading...

YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU

Loading...
YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU
link : YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU

soma pia


YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU


Na Said Mwishehe

KWA heshima na taadhima, naomba nitumie nafasi hii kuwasalimia wananchi wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Natoa salamu zangu kwenu nikitambua kuwa pamoja na shughuli nyingine za ujenzi wa nchi yetu , pia mpo kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.Sababu za kufanyika za uchaguzi huo unatokana na uamuzi wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Maulid Mtulia kuamua kujiuzulu ubunge.Baada ya kujiuzulu akaondoka CUF na kujiunga CCM.

Sioni umuhimu wa kurudia sababu ambazo amezitoa Mtulia wakati anatangaza kujiondoa CUF.Hata hivyo moja ya sababu amedai alipokuwa CUF alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu kutokana na mpasuko uliopo.Tunafahamu ndani ya CUF hakuko sawa kutokana na tofauti ya misimamo na mitazamo baina ya vingozi wa juu wa chama hicho.Hivyo Mtulia akaona bora ajiweke kando.Ndio sababu ambayo ameitoa.

Pia akasema juhudi za Rais ,Dk.John Magufuli za kuleta maendeleo zimemfanya aone haja ya kuunga mkono kwa kujiunga na CCM.Najua kila mtu anayo nafasi ya kuchambua na kupima anachosema Mtulia.Kwa sasa Mtulia anagombea tena ubunge wa Kinondoni kwa tiketi yaCCM.Kampeni zinaendelea Kinondoni na Mtulia ni miongoni mwa wanaomba kura kwa wananchi.
Katika uchaguzi huo ushindani upo kati ya Mtulia na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chadema Salimu Mwalimu.Ni ushindani haswa na kila chama kilipozindua kampeni rasmi walitoa tambo nyingi.Tunasubiri mwisho wa tambo hizo utakuaje.

Kila mmoja anaamini ataibuka na ushindi.Chadema wanaamini Kinondoni ni ya Salumu Mwalimu na hivyo hivyo CCM nao wanaamini Kinondoni ni ya Mtulia.Sawa yupo mgombea wa TLP ,Dk.Godfrey Malisa ambaye naye anawania jimbo hilo.Najua wapiga kura ndio wenye kuamua nani awe mbunge wao baada ya kila mmoja kupita na kutoa sera za chama chake kuhusu nini watafanya kwenye jimbo hilo.

KUSOMA ZAIDI MAKALA HII BOFYA HAPA



Hivyo makala YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU

yaani makala yote YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/yangu-macho-jimbo-la-kinondoni-maana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGU MACHO JIMBO LA KINONDONI MAANA HUKU MTULIA...KULE MWALIMU"

Post a Comment

Loading...