Loading...

Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa

Loading...
Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa
link : Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa

soma pia


Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa

 Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo imesema itahakikisha Chama cha soka Zanzibar (ZFA) inasimamia kufanya maandalizi ya timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) mapema mwaka huu ili izidi kutoa upinzani mkali katika mashindano ya Cecafa Senior Chalenj Cup.
Akijibu swali lililoulizwa na Mwakilishi wa Jimbo la Konde Omar Seif Abeid aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kabambe uliondaliwa kuhakikisha Zanzibar Heroes inaendelea kutoa upinzani katika mashindano hayo, naibu waziri wa wizara hiyo Chum Kombo Khamis amesema wizara kwa kushirikiana na idara ya michezo itahakikisha kuwa ZFA inasimamia kufanyika maandalizi ya timu hiyo mapema ili kuleta ushindani katika mashindano hayo.
Zanzibar Heroes ilifanikiwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya Cecafa Senior Chalenj Cup mwaka jana baada ya kufungwa kwa penalty 3-2 na wenyeji Kenya kufuatia kutoka sare ya 2-2 ndani ya dakika 120.


Hivyo makala Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa

yaani makala yote Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/02/zanzibar-heroes-kuanza-maandalizi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa"

Post a Comment

Loading...