Loading...

ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO

Loading...
ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO
link : ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO

soma pia


ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO

Basi la Kampuni ya Kimotco (pichani) lililokuwa likitoka Musoma,kwenda Arusha kupitia Mugumu,limepinduka katika mto unaodaiwa kuwa na viboko ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Mhifadhi Mkuu wa hifadhi hiyo William Mwakilema amethibitisha kupata taarifa ya tukio hilo leo Machi 16,na kusema kuwa katika ajali hiyo hakuna majeruhi wala vifo,na kuwa abiria wote wako juu ya basi.

Jitihada za kuwaokoa mmoja mmoja zinaendelea.Baada ya basi hilo kusombwa na maji abiria wote walitokea juu ya madilisha ya basi na kukaa juu yake,kwani halikuzama lote,jitihada za kuwaokoa zinaendelea  mpaka sasa,ambapo zaidi ya abiria wanne  wametolewa.

TAARIFA ZAIDI TUNASUBIRI KUTOKA MAMLAKA HUSIKA 

 Baadhi ya abiria wakiwa juu ya basi hilo mara baada kupinduka,wakiokolewa mmoja mmoja na Lori kama ionekavyo pichani
Basi likiwa limepundika kwenye mto ndani ya hifadhi ya serengeti.



Hivyo makala ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO

yaani makala yote ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/abiria-wanusurika-kifo-kufuatia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ABIRIA WANUSURIKA KIFO KUFUATIA KUPINDUKA KWA BASI LA KIMOTCO NDANI YA MTO"

Post a Comment

Loading...