Loading...

Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}

Loading...
Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}
link : Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}

soma pia


Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} Jaji Semistocles Kaijage Kushoto akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika Vuga na Timu yake kujitambulisha rasmi baada ya kupewa dhamana hiyo Mwaka  2016.
 Balozi Seif aliyekaa kiti cha kati akizungumza na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} ikiongozwa na Mwenyeki wake Jaji Semistocles Kaijage aliyekaa mwanzo Kushoto.
Kushoto ya Balozi Seif ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Tanzania Jaji Mstaafu wa Zanzibar Mh. Hamid Mahmoud Hamid na Mkurugenzi wa Tume hiyo Nd. Kailima Ramadhan.
 Jaji Semistocles Kaijage Kushoto akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Vuga Mjini Zanzibar
Balozi Seif wa Pili kutoka Kulia akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Uongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Jaji Semistocles Kaijage wa kwanza kutoka Kulia.
Kulia ya Balozi Seif ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Tanzania Jaji Mstaafu wa Zanzibar Mh. Hamid Mahmoud Hamid na Mkurugenzi wa Tume hiyo Nd. Kailima Ramadhan.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}

yaani makala yote Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC} mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/balozi-seif-akutana-na-timu-ya-tume-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Seif akutana na Timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania {NEC}"

Post a Comment

Loading...