Loading...

BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA

Loading...
BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA
link : BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA

soma pia


BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA

Na Tiganya Vincent
Serikali kupitia Bodi ya Pamba nchini (TCB) imeongeza dawa zaidi za kukabiliana na wadudu waharibifu wa zao la pamba zenye thamani ya bilioni 16 ili kuwasaidia wakulima waweze kuokoa mazao yao shambani.

Kauli hiyo ilitolewa juzi mjini Igunga na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania(TCB) Marco Mtunga wakati wa kampeni ya kutoa elimu juu ya unyunyuziaji sahihi wa dawa za kuua wadudu katika pamba.

Alisema dawa hizo zitarajiwa kusambazwa kwa wakulima kuanzia wiki hii ili kuwawezesha kuoka pamba yao na hatimaye waweze kupata mavuno mengi yatakayowapatia mapato mengi.

Mtunga alisema  jumla ya chupa za dawa milioni 4 zitasambazwa katika maeneo yote yanayolima pamba haba nchini.

Alisema chupa hizo ni nyongeza katika chupa milioni 2.5 ambazo tayari zimemeshasambazwa kwa wakulima wa maeneo mbalimbali yanayolima pamba hapa nchini.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri aliwataka wakulima wa pamba kuhakikisha wanazingatia ushauri wote ambao wataalamu kilimo na viongozi wanaowapa juu ya upigaji dawa ili mazao yao yawe na vitumba(matunda) vingi hasa kuanzia 20 na kuendelea ambavyo ndiyo vitawawezesha kupata kilo 1000 na kuendelea katika ekari moja.
  Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa elimu kwa wakulima wa pamba juu ya unyunyuziaji sahihi wa dawa za wadudu waharibifu wa zao hilo  mjini Igunga.
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Igunga wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati akiendesha kampeni matumizi sahihi ya dawa za kuua wadudu katika zao la pamba jana. Picha na Tiganya Vincent

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA

yaani makala yote BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/bodi-ya-pamba-yaongeza-chupa-milioni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BODI YA PAMBA YAONGEZA CHUPA MILIONI NNE ZA DAWA ZA KUUA WADUDU KATIKA PAMBA"

Post a Comment

Loading...