Loading...
title : Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo
link : Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo
Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.,Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Maudline Cyrus Castico kuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba, na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Choum Kombo Khamis kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Amina Salum Ali kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa baadhi ya Mawaziri walioteuliwa kuongoza wizara mbali mbali za Serikali katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zabnzibar leo,[Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Balozi Ali Abeid Karume kuwa Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Dkt.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hamad Rashid Mohamed kuwa Waziri wa Afya katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Rashid Ali Juma kuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Rajab Ali Rajab kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Shadya Mohammed Suleiman kuwa Naibu Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar , [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hassan Khamis Hafidh kuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar , [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.HMmanga Mjengo Mjawiri kuwa Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo Amali katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar , [Picha na Ikulu,] 1/03/2018.
Hivyo makala Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo
yaani makala yote Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/hafla-ya-kuwaapisha-mawaziri.html
0 Response to "Hafla ya kuwaapisha Mawaziri walioteuliwa na Rais Ikulu leo"
Post a Comment