Loading...

HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019

Loading...
HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019
link : HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019

soma pia


HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019

Na Emmanuel Masaka,Globu ya Jamii

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam limepitisha makadirio ya mapato kwa mwaka 2018/2019

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kwa Mwaka 2018/2019 imekadiria kutumia fedha Sh. 98,238,193,600 ambapo katika fedha hizo Sh. 76,607,163,700 ni matumizi ya kawaida na mishahara ambayo sawa na asilimia 78 ya Bajeti yote .Wakati Sh 21,631,029,900 ni fedha za kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo sawa na asilimia 22 ya bajeti yote.

Akizungumzia makadirio hayo Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob amesena wamekidhi kigezo cha kutenga asilimia 60 ya fedha za mapato ya ndani katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ambayo ni Sh.12,600,760,400.00 na Sh. 8,498,717,600 sawa na asilimia 40 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida na nishahara.

Akifafanu zaidi wakati anasoma bajeti hiyo Jacob amesoma vipaumbele 17 vya Halmashauri kwa mwaka 2018/2019.Ametaja vipaumbele hivyo ni ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Sh bilioni 3, uboreshaji wa mfumo wa ukusanyaji mapato ya ndani,kukusanya Sh.bilioni 25.7

Pia miradi ya maendeleo imetengewa fedha kiasi cha Sh.billioni 21.6 wakati kipaumbele cha nne kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa kununua dawa na vifaa tiba Sh.bilioni 8.2.Jacob ametaja kipaumbele cha tano ni kupandisha maslahi ya wajumbe Serikali za Mitaa kutoka sh. 5000 kwa mwezi mpaka sh 20,000 kwa mwezi.



Hivyo makala HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019

yaani makala yote HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/halmashauri-ubungoyapitisha-bajeti-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HALMASHAURI UBUNGO,YAPITISHA BAJETI YA BILLIONI 98.2/- MWAKA 2018/2019"

Post a Comment

Loading...