Loading...

HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19

Loading...
HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19
link : HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19

soma pia


HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19

Na,Consolata Evarist,Geita

Baraza la madiwani wa halmashauri ya mji wa Geita,Wilayani Halmashauri ya Mji Geita limepitisha makadirio ya bajeti ya matumizi ya ya mwaka wa fedha 2018/2019 kiasi cha shilingi Bilioni 44,983,764,197.00 katika shughuli mbalimbali za Halmashauri. 

Kati ya Fedha hizo Jumla ya Tsh 15,585,248,344.00 ni kwa ajili ya shughuli za Maendeleo ikiwa ni Mapato ya Ndani, Ruzuku ya Serikali na Wahisani mbalimbali. Tshs. 4,765,976,688.00 kwa ajili ya matumizi ya kawaida ikiwa ni Ruzuku kutoka Serikali kuu na Mapato ya ndani na Tshs. 24,632, 539,165.00 kwa ajili ya mishahara.

Aidha Halmashauri imekisia kukusanya Jumla ya Tsh 5,114,157,735.00 toka vyanzo vya ndani ambayo fedha hii imejumuishwa katika jumla ya Bajeti ya mwaka 2018/2019. Jumla ya Tsh. 3,030,016,641.00 sawa na 60% zimetengwa kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo.

Akiongeza katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Geita kwenye kikoa cha kupitisha bajeti ya Mwaka wa fedha 2018/2019,Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Geita,Mhandisi Modest Aporinali alisema Bajeti hyo imezingatia vipaumbele vilivyoainishwa kwenye Mwongozo wa kuandaa Bajeti uliotolewa na Wizara ya Fedha Mwezi, Novemba 2016, Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs 2030); Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020, Mpango wa Pili wa miaka Mitano (FDYPII) 2016/17-2020/21 na Lengo likiwa ni kufikia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2030.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Geita,Mhandisi Modest Aporinaly Akizungumza wakati wa kikao cha kupitisha Bajeti ya fedha ya mwaka 2018/19. 
Baadhi ya watumishi na wakuu wa idara wakiwa kwenye Kikao cha kupitisha Bajeti ya fedha ya mwaka 2018/19. 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Geita Mheshimiwa Leonard Kiganga Bugomola,akizungumza wakati wa kikao cha kupitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2018/19. 
Meza kuu ikiwa na viongozi mbali mbali wa Serikali na chama cha mapinduzi.




Hivyo makala HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19

yaani makala yote HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/halmashauri-ya-mji-geita-yapitisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HALMASHAURI YA MJI GEITA YAPITISHA BILIONI 44.9 MWAKA WA FEDHA 2018/19"

Post a Comment

Loading...