Loading...

JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

Loading...
JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA
link : JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

soma pia


JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.
MALKIA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee ametaja majina ya wasanii wengine watakaomsindikiza katika Tamasha la  Unaweza linalotarajia kufanyika Machi 31 mwaka  katika Hotel ya Golden Tulip Ostetbay.

Akizungumza na Michuzi blog Jaydee amewataja wasanii hao ni Bushoke, Nick Mbishi, Alawi Junior na Wengine wengi.

"Hii ni shoo ambayo nataka kila mtu afurahie muziki akiwa nyumbani na ladha ambazo walikuwa wamezikosa kwa muda mrefu, hivyo kupitia onesho hilo nitaka kiu yao ya kutonusikia kwa muda kidogo," amesema Jaydee

Aidha mwanamuziki huyo amesema siku hiyo kutakuwa na watu maarufu akiwamo MC Pilipili na wengine wengi.

Amesema maandalizi ya shoo hiyo yamekamilika na kwamba amejiandaa vya kutosha.

Amefafanua shoo hiyo itaanza  saa12 jioni ambapo Machozi Band watakuwa jukwaani na kumalizika  saa  sita usiku atamaliza lakini ana uhakika watakaofika watakuwa wameandika historia ya aina yake kutokana na namna alivyojiandaa.


Hivyo makala JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA

yaani makala yote JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/jaydee-ataja-wakali-watakaoshiriki-shoo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAYDEE ATAJA WAKALI WATAKAOSHIRIKI SHOO YAKE YA UNAWEZA"

Post a Comment

Loading...