Loading...

JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII

Loading...
JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII
link : JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII

soma pia


JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limefanikiwa kumkamata mganga wa Jadi mwenye kupiga ramli chonganishi na kusababisha Mauaji ya mama mmoja aliyefahamika kwa jina la NDILU MBOGOSHI, Miaka 65, Msukuma, Mkulima, Mkazi wa Shilabela Kata ya Ulyankulu wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora, ambaye aliuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani. Mara baada ya tukio hilo upelelezi ulifanyika na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora liliweza kubaini na kumkamata mganga wa jadi huyo ambaye amefahamika kwa jina la THERESIA PAULO, 57YRS, MSUKUMA, mganga wa jadi na mkazi wa ISAGEGE-SASU Tarafa ya Ulyankulu wilaya ya Kaliua.
 Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Tabora SACP Wilbroad Mutafungwa akitoa taarifa za kukamatwa kwa Mganga wa Jadi anayepiga ramli chonganishi na kusababisha Mauaji.
Picha hapo juu: Mganga aliyekamatwa akiwa pamoja na vifaa vyake vya kazi ambaye anapiga ramli chonganishi iliyosababisha Mauaji huko Ulyankulu Mkoa wa Tabora.Picha na Habari toka kwa Omar Matesa @ RPC TABORA


Hivyo makala JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII

yaani makala yote JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/jeshi-la-polisi-tabora-lamkamata-mganga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA POLISI TABORA LAMKAMATA MGANGA WA JADI ANAEPIGA RAMLI CHONGANISHI KWA JAMII"

Post a Comment

Loading...