Loading...
title : JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT
link : JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT
JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akimuelekeza kitu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi Christina Mndeme ambaye ameshika punje za mahindi kiganjani kwake, alipotembelea kiwanda cha kisasa cha kuchakata mahindi cha kikosi cha JKT Mlale Songea Mkoani Ruvuma. “ Tunakikosi cha JKT Mbalali kilichopo Mbeya kinalima zao la kahawa na niwazalishaji wazuri wa zao hilo napotutajenga kiwanda cha kuchakata kahawa ili tuwe na Kahawa Product ya JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ,Tunasambaza viwanda hivi kwa faida ya wananchi wa Tanzania, kwa maendeleo yao ,kwa maendeleo yetu wote, tunaimani tumeanza kuthubutu,tunaimani tutaweza ”
Hivyo makala JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT
yaani makala yote JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/jwtz-kujenga-viwanda-katika-kambi-za-jkt_19.html
0 Response to "JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT"
Post a Comment