Loading...
title : MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA
link : MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA
MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma Machi 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kufungua mkutano wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Machi 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma, Machi 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA
yaani makala yote MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/majaliwa-afungua-mkutano-mkuu-wa.html
0 Response to "MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BAKWATA MJINI DODOMA"
Post a Comment