Loading...
title : MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA
link : MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA
MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Taifa(UWT), Amina Makilagi akizungumza wakati wa Warsha ya Wanawake Wajasiliamali iliyoandaliwa na Uhuru Fm katika mahadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa Warsha ya Ujasiliamali iliyoandaliwa na kituo cha Radio cha Uhuru Fm.
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Radio cha Uhuru Fm, Angel Akilimali akizungumza kuwakaribisha wanawake wajasiliamali kwenye warsha maalum iliyandaliwa kwa ajili yao
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya akikabidhi Cherehani kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Radio cha Uhuru Fm, Angel Akilimali kwa ajili ya Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa Warsha ya Ujasiliamali iliyoandaliwa na kituo cha Radio cha Uhuru Fm.
Mtangazaji wa kipindi Wanawake na ujasilimali cha Uhuru Fm akizungumza na Wanawake waliofika katika Warsha hiyo kujifunza mbinu mbalimbali.
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyanya na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Taifa(UWT), Amina Makilagi wakikagua bidhaa za Wajasiliamali waliofika katika Warsha iliyoandaliwa na Uhuru Fm.
Wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa Warsha ya Ujasiliamali iliyoandaliwa na kituo cha Radio cha Uhuru Fm.
Hivyo makala MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA
yaani makala yote MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/makilagi-manyanya-wawafunda-wanawake-wa.html
0 Response to "MAKILAGI , MANYANYA WAWAFUNDA WANAWAKE WA DAR ES SALAAM UMUHIMU WA UJASILIMALI KATIKA UCHUMI WA VIWANDA"
Post a Comment