Loading...

MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO

Loading...
MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO
link : MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO

soma pia


MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO

Kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye tarehe za kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria na DR Congo kimetajwa leo Alhamis Machi 8, 2018.

Kikosi hicho kitaingia kambini Machi 18, 2018 kwenye hotel ya SeaScape na kuondoka Machi 19, 2018 kuelekea Algeria kwa mchezo utakaochezwa Machi 22, 2018 kitarudi Tanzania Machi 24, 2018 kujiandaa na mchezo wa pili utakaochezwa Uwanja wa Taifa Machi 27, 2018 na DR Congo.

Kikosi kilichoitwa: 
WALINDA MLANGO.
  1.Aishi Manula  (Simba),   2.Ramadhani Kabwili  (Young Africans)
  3.Abdulrahman Mohamed (JKU)
  
WALINZI WA PEMBENI.
  4.Shomari Kapombe (Simba),  5.Hasan Kesy (Young Africans)
  6.Gadiel Michael(Young Africans)
  
WALINZI WA KATI.
  7.Kelvin Yondan(Young Africans),   8.Abdi Banda (Baroka)
  9.Erasto Nyoni(Simba)

VIUNGO WA KATI .
  10.Hamisi Abdallah  (AFC Leopards),   11.Mudathir Yahaya (Singida United),   12.Said Ndemla  (Simba),   13.Faisal Salum (JKU),   14.Abdulazizi Makame (Taifa Jang’ombe)

VIUNGO WA PEMBENI.
  15.Farid Mussa ( Teneriffe),   16.Thomas Ulimwengu  (FK Sloboda Tuzla)
  17.Ibrahim Ajib  (Young Africans),   18.Shiza kichuya  (Simba),  19.Mohamed Issa  (Mtibwa)

WASHAMBULIAJI.
  20.Mbwana Samata (KRC Genk),   21.Saimon Msuva (El Jadida),   22.John Bocco  (Simba),   23.Zayd Yahaya (Azam FC)

BENCHI LA UFUNDI.
  1.Salum Mayanga,   2.Hemed Morocco,   3.Patrick Mwangata,   4.Dani Msangi,   5.Dr.Yomba,   6.Dr.Gilbart Kigadya na   7.Ally Ruvu


Hivyo makala MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO

yaani makala yote MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mayanga-aita-23-taifa-stars-kuwakabili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAYANGA AITA 23 TAIFA STARS KUWAKABILI ALGERIA NA DR CONGO"

Post a Comment

Loading...