Loading...

MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA

Loading...
MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA
link : MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA

soma pia


MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga (CCM) amefanya ziara ya kukutana na akina mama wafanyabiashara ndogo ndogo zaidi ya 250 wanaofanya shughuli zao katika Soko Kuu, Mtaa wa Sukari na Nguzo Nane mjini Shinyanga kwa lengo la kusikiliza shida zao na kujadili namna ya kuboresha biashara zao.

Mhe. Mayenga amefanya ziara hiyo leo Alhamis Machi 1,2018 akiwa ameambatana na Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Shinyanga,Octavina Kiwone, Afisa Biashara wa Manispaa hiyo,Sunday Deogratius, Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Shinyanga Mjini Shumbuu Katambi na madiwani wa viti maalum Zuhura Waziri na Mariam Nyangaka.

Alisema lengo la kukutana na akina mama hao ambao wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa mitaji na mazingira yasiyo rafiki ni kutoa elimu na kubadilishana mawazo kuhusu ya namna ya kuondoka katika hali waliyonayo ili wapige hatua kimaendeleo.

“Nimeanzisha utaratibu huu wa kukutana na akina mama bila kujali itikadi za vyama vya siasa,dini wala rangi kwani maendeleo hayaangalii mambo haya, wanawake wana nafasi kubwa katika kuleta mabadiliko katika jamii hivyo lazima tushirikiane na tujumuike pamoja kumaliza changamoto zinazowakabili ili tujikwamue kiuchumi”,alieleza.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga (CCM) akizungumza na akina mama wanaofanya biashara zao katika Soko Kuu Mjini Shinyanga waliokutana naye katika ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga leo Alhamis Machi 1,2018 kwa ajili ya kutoa elimu na kubadilishana nao mawazo namna ya kuboresha biashara wanazofanya - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga akizungumza na akina mama zaidi ya 100 wanaofanya biashara zao katika Soko Kuu mjini Shinyanga.
Mfanyabiashara katika Soko Kuu Mjini Shinyanga,Winfrida Rwehumbiza akimshukuru Mbunge Lucy Mayenga kwa kuwafikia akina mama wafanyabiashara wenye mitaji midogo.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga akizungumza na wafanyabiashara katika Mtaa wa Sukari mjini Shinyanga.
Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Shinyanga,Octavina Kiwone akitoa elimu ya vikundi kwa wafanyabiashara wa mbogamboga katika mtaa wa Sukari mjini Shinyanga



Hivyo makala MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA

yaani makala yote MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mbunge-lucy-mayenga-akutana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MBUNGE LUCY MAYENGA AKUTANA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MJINI SHINYANGA"

Post a Comment

Loading...