Loading...

MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU

Loading...
MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU
link : MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU

soma pia


MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU


Na Ripota Wetu,Globu ya Jamii

MEYA  wa Jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita ametemtembelea nyumbani kwakwe na kisha kumpeleka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mwasisi na mkongwe wa Chadema Victa Kimesela ambaye anaumwa kwa muda mrefu sasa.

Kimesela ni miongoni mwa waasisi walioshiriki kuandaa Katiba ya chama hicho mwaka 1992, anaugua kwa muda ambapo familia yake ilimueleza Meya Mwita kuwa alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na hivyo kuruhusiwa Jumatano iliyopita.

Taarifa iliyotolewa leo na Ofisa Habari wa Ofisi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam Christina Mwagala amesema muda fupi baada ya  Meya Mwita kufika nyumbani  kwa mwasisi huyo, afya yake ilibadilika.

Hivyo kwa kushirikiana na familia hiyo  walitoa taarifa Muhimbili ili kupatiwa gari ya kubebea wa gonjwa.Aidha  gari hiyo ilifika na kisha Mwita na familia hiyo waliambatana pamoja kumuwahisha kwa mara nyingine Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo alikuwa akipatiwa matibabu awali.

 Mwagala amesema kuwa Kimesela amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya Chadema, ikiwepo kuwa Katibu mtendaji wa chama hicho wakati wa utawala wa mzee Edwin Mtei.

Pia amewahi kuwa Katibu mkuu wa muda wakati wa utawala wa Bob Makani(marehemu)na hivyo kumuachia nafasi hiyo Dk.Wilblod Slaa ambaye kwa sasa amestaafu siasa tangu  mwaka 2015.
 
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita akiwa pamoja na familia ya Kimesela ,wakitoa msaada wa kumpakiza kwenye gari ya kubebea wagonjwa ya hospital ya Taifa Muhimbili jana alipomtembelea nyumbani kwakwe.Kimesela anaumwa na kwa sasa amelazwa katika hospital ya Taifa Muhimbili.
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na mke wa Kimesela , Suzani Kimesela alipomtembekea nyumbani kwake jana .



Hivyo makala MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU

yaani makala yote MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/meya-jiji-la-dar-amjulia-hali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA JIJI LA DAR AMJULIA HALI MWANASIASA MKONGWE CHADEMA,AMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU"

Post a Comment

Loading...