Loading...
title : Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo
link : Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo
Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo
Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi funguo ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo katika hafla iliyofanyika mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Wateja tawini hapo, Mwanahawa Jangwa.
Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi kadi ya gari ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo katika hafla iliyofanyika mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Wateja tawini hapo, Mwanahawa Jangwa.
Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati) akimkabidhi kibao cha namba za gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo katika hafla iliyofanyika mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Wateja tawini hapo, Mwanahawa Jangwa.
Hivyo makala Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo
yaani makala yote Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mkazi-wa-lindi-akabidhiwa-kirikuu-yake.html
0 Response to "Mkazi wa Lindi akabidhiwa Kirikuu yake aliyojishindia katika kampeni ya Malengo ya Benki ya NBC mjini Tanga leo"
Post a Comment