Loading...

MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR

Loading...
MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR
link : MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR

soma pia


MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR


 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafayakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania TALGWU, Obadia Mwakasitu akizungumza katika Kikao cha Baraza la nne la ZAPSWU huko katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi
 Mgeni rasmi wa Kikao cha Baraza kuu la nne la Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma, Mw. Khamis Mwinyi ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi ZATU akiwahutubia washiriki wa wa Kikao hicho.
 Mwenyekiti wa Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar akizungumza machache na kumkaribisha mgeni Rasmi katika kikao cha Baraza kuu la nne la Chama hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
 Washirki wa kikao cha Baraza kuu la nne la Chama Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar wakiimba nyimbo maarufu ya Mshikamano katika kikao hicho.
Picha ya pamoja ya Wajumbe walioshiriki kikao cha Baraza kuu la nne la Chama cha Wafayakazi wa Sekta ya Umma Zanzibar ZAPSWU. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar 


Hivyo makala MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR

yaani makala yote MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mkutano-wa-nne-wa-baraza-kuu-la-chama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...