Loading...
title : MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA
link : MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA
MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA
MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali nchini (NGOs) yaaswa kuwasilisha taarifa za Mwaka kwa mujibu wa Kifungu Na. 29 cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 na Kanuni Na. 10 ya Kanuni za Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2004 (GN 152, 2004) kabla ya tarehe 15 Aprili, 2018.
Hayo yameainishwa katika taarifa ya Msajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Marcel Katemba kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo. Taarifa hiyo inaeleza kuwa “Mashirika yasiyo ya kiserikali kuwasilisha Taarifa za Mwaka kwa mujibu wa Kifungu Na. 29 cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 na Kanuni Na. 10 ya Kanuni za Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2004 (GN 152, 2004), kama ilivyorekebishwa na Kanuni Na. 6 ya Kanuni za Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2014 (GN 8, 2015)”.
“Taarifa hiyo ijumuishe Taarifa za utendaji kazi, Taarifa za fedha zilizokaguliwa, NGO Fomu Na.10 na Stakabadhi ya malipo ya ada ya mwaka”
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mashirika yatakayoshindwa kutekeleza agizo hili ndani ya kipindi tajwa, yatachukuliwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kutozwa faini.
Hivyo makala MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA
yaani makala yote MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/msajili-azitaka-ngos-kuwasilisha-taarifa.html
0 Response to "MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA"
Post a Comment