Loading...
title : Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa
link : Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa
Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa
: Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Chief wa kihehe Evaristo Sambiligunga Mwambeta alipokutana na machief wa kihehe kuzungumza nao kuhusu namna ya kuhifadhi historia ya ukomboziwa Bara la Afrika kwa vizazi vijavyo jana Mkoani Iringa.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa ameshika silaha za jadi alizokuwa anatumia Mtwa Mkwawa wakati wa harakati za kuwakomboa wahehe kutoka katika utumwa wa wajerumani jana katika makumbusho ya Mkwawa iliyopo katika Halmashauri ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiangalia kaburi la Mtwa Abdul Adam Sapi Mkwawa alipotembelea makaburi ya machief kutoka ukoo wa Mkwawa jana katika makumbusho ya Mkwawa iliyopo katika Halmashauri ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Tumaini Dkt. Gibson Sanga (kushoto) akimuonyesha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) baadhi ya vifaa vya kitamaduni vinavyotumiwa na kabila la wahehe alipotembelea makumbusho ya Iringa jana Mkoani Iringa
Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM
Hivyo makala Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa
yaani makala yote Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mwakyembe-atembelea-maeneo-ya.html
0 Response to "Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa"
Post a Comment