Loading...
title : MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018
link : MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018
MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018
Mzee Joram Mollel maarufu BABU mwenye umri zaidi ya miaka 90 akijisajili kushiriki mbio za kilomita 21 Tigo Kili Half Marathon zitakazotimua vumbi siku ya Jumapili wiki hii mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo akimkabidhi Babu Molell NAMBA ya ushiriki wa mbio za kilomita 21 Tigo Kili Half Marathon zitakazotimua vumbi siku ya jumapili wiki hii mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Mtoa huduma wa Tigo, Mohammed Ally akiwasajili Aghata Philii na Poling Nikesa raia wa Zambia kushiriki mbio za Tigo Kili Half Marathon kwenye viwanja vya Kibo Palace Arusha juzi. Mbio zinatarajiwa kutimua vumbi jumapili ya wiki hii Moshi, Mkoani Kilimanjaro
Hivyo makala MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018
yaani makala yote MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/mzee-joram-mollel-maarufu-kama-babu.html
0 Response to "MZEE JORAM MOLLEL MAARUFU KAMA "BABU" APATA NAMBA YAKE YA KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2018"
Post a Comment