Loading...
title : NURU YA AFYA
link : NURU YA AFYA
NURU YA AFYA
Ungana pamoja nasi katika usiku wa kipekee tukila, kunywa na kuburudika katika 2018 Nuru Ya Afya Fundraising Masquerade Ball inayoletwa kwenu na TAHMEF (Tanzania Health and Medical Education Foundation)
Ili kuunga juhudi za kuboresha afya ya uzazi na upatikanaji wa huduma za bima ya afya kwa watanzania.
MGENI RASMI: Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii,Jinsia,wazee na Watoto, Mheshimiwa DK. FAUSTINE NDUGULILE
Usisite kuwasiliana nasi kujipatia tiketi na maelezo zaidi kupitia:
Simu: +255 656 597 434, +255 768 326 387
Tovuti: www.tahmef.or.tz
#NuruYaAfya #600lives
Hivyo makala NURU YA AFYA
yaani makala yote NURU YA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NURU YA AFYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/nuru-ya-afya.html
0 Response to "NURU YA AFYA"
Post a Comment