Loading...

Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar.

Loading...
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar.
link : Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar.

soma pia


Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed kulia akimkabidhi makabrasha ya Vitendea Kazi vya Ofisi ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, wakishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Khadija Bakari Juma na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Bwana. Shaban Seif Mohammed, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed kulia akimkabidhi Hati ya Makabrasha ya Ofisi ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar ,Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo,hafla hiyo ya makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Vuga Zanzibar.








Hivyo makala Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar.

yaani makala yote Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/ofisi-ya-makamu-wa-pili-wa-rais-wa_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Yakabidhi Wakala wa Serikali wa Uchapaji kwa Wizara ya Habari Utalii Mambo ya Kale Zanzibar."

Post a Comment

Loading...