Loading...

POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA

Loading...
POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA
link : POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA

soma pia


POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA

*Kamanda Mambosasa agusia upelelezi kifo cha Akwilina 

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii

KAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema  hali ya usalama wa Jiji kuelekea Sikukuu ya Pasaka na wamejiimarisha kulinda usalama wa raia na Mali zao.

Mambosasa ameeleza kuwa Jeshi limejipanga kwa kuimarisha ulinzi na kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es salaam wanasherekea vizuri sikukuu hii.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam,Mambosasa ameeleza hakuna mtu yeyote atakayepata fursa ya kufanya tukio lolote la kiharifu kwani jeshi limejipanga kwa doria ya miguu, mbwa, pikipiki, farasi na magari yote yaliyopo katika kuhakikisha usalama wa raia wote na pia wameongeza nguvu ya ulinzi katika fukwe zote.

Kuhusu disko toto Mambosasa amesema kuwa hakuna kibali kilichoombwa hivyo hategemei kuona kumbi yoyote itakayokusanya watoto.

Kuhusu mauaji ya Akwilina Akwilini kamanda Mambosasa ameeleza upelelezi bado unaendelea na maelezo waliyoyapata bado wanayafanyia kazi uchunguzi ukikamilika watatoa maelezo.

Ametoa rai kwa waendesha vyombo vya moto kuwa makini na kuepukana na ulevi ili kulinda usalama wao na wananchi kwa ujumla.


Hivyo makala POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA

yaani makala yote POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/polisi-kanda-maalum-dar-yaimarisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "POLISI KANDA MAALUM DAR YAIMARISHA ULINZI KUELEKEA PASAKA"

Post a Comment

Loading...